MATOKEO YA MECHI ZOTE NDANI YA LIGI KUU BARA
Mbeya City 0-1 Alliance, (Juma Nyangi 19’) Uwanja wa Sokoine.
Ndanda SC 1-0 Biashara United (Abdul Hamisi 90’+3 p), Uwanja wa Nangwanda Sijaona.
JKT Tanzania 2-0 Singida United (Musa Said 11’, Hafidh Mussa 61’), Uwanja wa Jamhuri.
Simba 3-0 Mwadui FC (Dilunga 9’, Austino 21’ OG, John Bocco 58’), Uwanja wa Taifa.
Namungo FC 2-0 Kagera Sugar (Hashim Manyanya 14’, Reliants Lusajo 77’), Uwanja wa Majaliwa.
Polisi Tanzania 1-1 Lipuli FC (Baraka Majogoro 50’ | Rashid Hassan 63’), Uwana wa Ushirika, Moshi.
KMC 2-1 Ruvu Shooting (Charles Iranfya 29', Emmanuel Mvuyekure 65’ | Graham Naftal 53’), Uwanja wa Uhuru.
Maoni
Chapisha Maoni