SIMBA SC KUMPA KICHAPO MWADUI FC

FT:Simba 3-0 Mwadui FC
Uwanja wa Taifa
Dakika ya 71 Mlipili anaingia anachukua nafasi ya Kapombe
Dakika ya 67 Malika anaingia kuchukua nafasi ya Raphael wa Mwadui
Dakika ya 62, Kagere anaingia anatoka Bocco, Chama anaingia Luis, Kahata ameingia nafasi ya Dilunga
Dakika ya 57 Goooal Bocco kwa kichwa
Dakika ya 55, Tshabalala anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 50 Mdamu anafanya jaribio akiwa nje ya 18 linapaa mazima
Dakika ya 48 Kened Juma wa Simba anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Raphael
Kipindi cha pili kimeanza
HT: Simba 2:0 Mwadui FC
Dakika 2 zinaongezwa
Dakika 45 zinakamilika Uwanja wa Taifa
Dakika ya 44 Mfaume anafanya jaribio linaishia mikononi mwa Manula
Dakika ya 43 Mwadui wanalifuata lango la Simba
Dakika ya 41 Luis anaotea akiwa ndani ya 18
Dakika 40 Ndemla anamtafuta Dilunga
Dakika ya 38 Dilunga anampenyezea Bocco mpira unaokolewa
Dakika ya 36 Mwadui wanamiliki mpira, wanapata kona inaokolewa na Manula
Dakika ya 34 Luis anapaisha moira akiwa ndani ya 18
Dakika ya 33 Mwadui wanapiga kona inaokolewa
Dakika ya 32 Bocco anaotea
Dakika ya 31 Hassan Dilunga anaoteaDakika ya 30 Luis anawafuata Mwadui,
Dakika ya 28 Mwadui wanalifuata lango la Simba
Dakika ya 21 Goool Agustino Samson anajifunga kwa pasi ya Kapombe
Dakika ya 19 Bocco anaotea
Dakika ya 18 Mdamu anachezewa faulo
Dakika ya 17 Ndemla anafanya shambulizi linakwenda nje
Dakika ya 16 Mwadui wanafanya shambulizi linaokolewa na Wawa.
Dakika ya 15 Masenga wa Mwadui anachezewa faulo na Ndemla
Dakika ya 11 Kapombe anachezewa faulo Dakika ya 09 Dilunga anafunga goooal kwa pasi ya John Bocco .
Dakika ya 05 Mwadui wanakosa nafasi ya kufunga kwa Simba.
Dakika ya 03 Simba wanafanya jaribio haizai matunda
Uwanja wa Taifa
Kipindi cha Kwanza
Simba 0-0 Mwadui FC

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MATOKEO YA MECHI ZOTE NDANI YA LIGI KUU BARA

MAPEMA TU KAZI ISHAISHA TAIFA, MIFUMO NA MBINU ZA MAKOCHA WOTE WA YANGA NA AZAM FC NI PACHA